MANCHESTER UNITED YAPANGA KUMLINDA DE GEA DHIDI YA REAL MADRID KWA KUMUONGEZEA KIBUNDA

DAVID de Gea, 26, bado anabakia mlengwa wa juu wa Real Madrid, lakini Manchester United wapo tayari kumlinda kipa huyo wa Hispania kwa mshahara mkubwa wa nyongeza ili “kuwaondoa” vigogo hao wa Hispania.

No comments