Javier Mascherano amefunga goli lake la kwanza kwa Barcelona Jumatano usiku lakini shukrani za dhati kutoka kwake zimwendee Gerard Pique.

Ivan Rakitic alishaelekea kwenda kupiga penalti katika dakika ya 67, lakini akaelekezwa na Pique kumpa jukumu hilo mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool.

Penalti hiyo ikamwezesha Mascherano kuandika goli lake la kwanza kwa Barcelona aliyojiunga nayo mwaka 2010.NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac