MENEJA WA HULL CITY ANAAMINI USHINDI DHIDI YA WESTHAM UNITED NI ONYO KWA WAPINZANI WAO

MENEJA wa Hull City, Marco Silva anaamini timu yake ilituma onyo kwa wapinzani wao walio hatarini kushuka daraja baada ya ushindi wa Jumamosi dhidi ya Westham United. 

No comments