Habari

MO MUSIC AWATAKA MASHABIKI KUKAA MKAO WA KULA… amficha aliyempa shavu kwenye wimbo wake ujao

on

MKALI wa
bongofleva, Mo Music amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kusubiri ujio wake
mpya katika kibao ambacho amefanya na msanii aliyeamua kuficha jina lake hadi
hapo kibao hicho kitakapotoka.
Akiongea na
saluti5, Mo Music amesema kwamba kuna kazi kali inakuja ambayo amefanya kwa
kumshirikisha mmoja wa wasanii wakubwa, lakini hata hivyo analiweka kapuni jina
la msanii huyo hadi kibao hicho kitakapoachiwa rasmi.

“Kama Mo
Music nawaomba mashabiki na wapenzi wangu wote wakae mkao wa kula kwani kazi
mpya iko jikoni na wakati wowote itaiva na kupakuliwa,” amesema msanii huyo
anayetamba na kazi zake nyingi zenye ubora wa hali ya juu.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *