MOURINHO AMTAKA SANCHEZ KUZIPA "PENGO" LA IBRAHIMOVIC... ampigia simu na kuchonga nae

IMEBAINIKA kuwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho alimpigia simu mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez ili kumshawishi ajiunge na timu hiyo inayotumia uwanja wa Old Traford.


Kocha huyo raia wa Ureno alifanya mazungumzo ya siri na Sanchez ambaye anakaribia kumaliza mkataba wake Arsenal ili azibe pengo litakaloachwa na Zlatan Ibrahimovic.

No comments