Msondo Ngoma Music Band leo usiku waatanza rasmi ratiba yao ya kuburudisha ndani ya ukumbi wa Equator Grill, Mtoni jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Equator Grill Hamis Slim ameiambia Saluti5 kuwa kuanzia Alhamisi hii na kila Alhamisi, Msondo watakuwa wakipatikana ndani ya ukumbi huo.

Hamis Slim amesema onyesho litakuwa likianza saa 1 jioni na kiingilio kitakuwa ni ustaarabu wako tu …yaani bureeee!.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac