MUZIKI WA BARCELONA MZITO KWA SEVILLA …Messi na Suarez wafanya yao, 3-0 zahusika


Sevilla ilishindwa kabisa kufurukuta mbele ya Barcelona kwenye mchezo wa La Liga na kukubali kichapo cha 3-0.

Barcelona walihitaji dakika 33 tu kuangusha karamu hiyo ya aina yake na kuendelea kuwakimbiza wapinzani wao wakuu Real Madrid.

Luis Suarez alifungua kitabu cha magoli dakika ya 25 kabla ya Lionel Messi hajafunga mara mbili dakika ya 28 na 33.

Barcelona: ter Stegen, Sergi Roberto, Mascherano, Pique (Digne 79), Umtiti, Busquets, Rakitic (Alena 81), Iniesta, Messi, Suarez (Alcacer 65), Neymar

Sevilla: Rico, Mariano, Mercado, Pareja, Lenglet, Escudero, Vitolo, Iborra, N'Zonzi, Nasri, Correa

No comments