NAVY KENZO WAENDELEA KUTESA NA SHOO ZA KIBABE NCHINI ISRAEL

KUNDI la Wapenzi la Navy Kenzo linaendelea kufanya vyema kwenye shoo zake chini Israel na kuteka hisia za mashabiki wake katika jiji la Tel Aviv.

Wamemaliza kufanya tamasha katika ukumbi wa Club Barie na wataendelea kuwepo nchini humo kutokana na ratiba waliyopanga.

Kundi hilo pia linatarajia kupeleka albamu yake mpya kwenye ukumbi wa Club kwenye jiji hilo la Tel Aviv.


Wawili hao walikutana nchini India walipokuwa masomoni na kuanzisha uhusiano wa kimapenzi ambao hata hivyo mwisho wa siku waliamua kuunda kundi la muziki baada ya kurejea Tanzania.

No comments