NICKI MINAJ ALAMBA DILI KWENYE KAMPUNI YA MITINDO

RAPA wa kike wa Marekani, Nicki Minaj amepata shavu jipya kwa kusaini mkataba na kampuni ya mitindo ya Wihelmina.

Rapa huyo amethibitisha kupata dili hilo kupitia mtandao wa Vogue na kusema kwamba ni dili zuri kwake.


Kwa sasa Nicki atakuwa anafanya kazi na mastaa wengine kama Nick Jonas, Demi Lovato na Shawn mendes kwenye kampuni hiyo.

No comments