OZIL ASEMA HATMA YAKE NDANI YA ARSENAL IKO MIKONONI MWA FAMILIA YAKE

KIUNGO wa Arsenal na Ujerumani, Mesut Ozil, 28, amebainisha kuwa familia yake inaweza kuchagua yeye kuondoka klabu hiyo mwishoni mwa msimu.

No comments