PASAKA YAIKUTA SEHEMU NZURI MAPACHA WATATU


Sikukuu ya Pasaka imekaa vizuri kwa Mapacha Music Band (zamani ikifahamika kama Mapacha Watatu), hasa kutokana na ukweli kuwa sherehe hizo zinafanyika Jumapili April 16.

Jambo jema kwa Mapacha ni kwamba siku hiyo kubwa itawakuta kwenye ukumbi wao wa nyumbani – Meridian Hotel (Club Masai) Kinondoni ambako hupiga kila Jumapili.


Hakuna jambo tamu kama sikukuu kubwa kama hizi kukukuta kwenye ukumbi wako wa nyumbani, mambo huwa supa!

No comments