PAUL POGBA APATA MTETEZI… Robert Pires asema ilikuwa sahihi kwake kutua Manchester United

ROBERT Pires, nyota aliyewahi kuwika na kikosi cha Arsenal amemkingia kifua kiungo wa Manchester United, Paul Pogba na kusema ulikuwa ni wakati sahihi kwake kujiunga na Manchester United.


Pires alisema kwamba ni wachezaji wachache sana wanaoweza kuikataa nafasi ya kuichezea Manchester United, hivyo kwa Pogba ulikuwa ni uamuzi sahihi kwake kujiunga na kikosi hicho chini ya Mourinho.

No comments