Habari

PICHA 12: LICHA YA TISHIO LA MVUA JAHAZI MODERN TAARAB YAFANYA KWELI DAR LIVE …Mashabiki waomba irudi tena Mei 13

on

Licha ya mvua iliyopiga siku nzima kuanzia asubuhi hadi jioni, lakini
onyesho la Jahazi Modern Taarab ndani ya Dar Live, Mbagala limefana kupita
maelezo.

Jahazi wamepiga bonge la shoo iliyohudhuriwa na mashabiki wengi sana
ambao wameomba bendi hiyo irejee tena mwezi Mei.
Bila hiyana Jahazi wakatangaza kuwa watarejea tena Dar Live Jumamosi
ya Mei 13 ambapo watasindikizwa na Kibao Kata cha Kivurande.
Pata picha 12 za onyesho hilo la Jahazi ndani ya Dar Live.
Fatma Kassim akiimba “Hakuna Mkamilifu”
 Hadija Mbegu
Ally Jay akipapasa kinanda
 Jumanne Ulaya kwenye solo
 Mishi Zere akiimba moja ya nyimbo kali za Jahazi
 Mwasiti Kitoronto akiimba “Nataka Jibu”
 Mamia ya mashabiki wa Jahazi ndani ya Dar Live
 Prince Amigo akifanya yake
 Rajab Kondo akikung’uta bass gitaa
 Waimbaji wa Jahazi wakiwajibika  jukwaani
 Mchekeshaji Zimwi akikolezwa na muziki wa Jahazi
Zimwi akisakata goma la Jahazi

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *