Habari

PICHA 14 ZA NAMNA MAZISHI YA SAMWEL MSHANA YALIVYOFANYIKA NYUMBANI KWAO MAKANYA

on

Hatimaye mwanamuziki wa TOT Band, Samwel Mshana aliyefariki Jumamosi
alfajiri, alizikwa Jumanne mchana nyumbani kwao Makanya mkoani Kilimanjaro.
Zifuatazo ni picha kadhaa za namna mazishi ya Mshana yalivyofanyika na
kudhuriwa na ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wenzake.
 Baadhi ya wasanii waliokwenda Makanya kumzika Mshana wakipata kifungua kinywa
 Juma Jerry wa TOT akifuatilia kwa simanzi mazishi ya Mshana
 Sanduku lililobeba mwili wa Mashana likiingizwa kaburini
 Mazishi yakiendelea
 Mama mzazi wa Mshana akimimina mchanga kaburini
 Wazikaji wakiendelea kufikia kaburi la Mshana
 Mdogo wake Mshana (mwenye fulana ya mistari) akimimina mchanga
Wasaa wa kuweka mashada
Mama mtoto wa Mshana akiweka shada kaburini
 Mama Mzazi akiweka shada la maua sambamba na watoto wawili wa Mshana
Walioshika shada ni kaka wa Mshana (kulia) na kushoto ni mdogo wake Mshana. Hawa ndio waliofuatana na Samwel Mshana kwa kuzaliwa
 Jamaa na marafiki wakiweka shada
Sumaragar akiwa na watoto wa marehemu
JJ akiwafariji watoto wa marehemu Mshana

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *