PSG WAWAPIGIA MAHESABU ALEXIS SANCHEZ, EDINSON CAVANI NA ANGEL DI MARIA

KLABU ya PSG imepanga kumnasa mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez raia wa Chile wakati wa dirisha kubwa la usajili.


PSG inataka kumjumuisha nyota huyo pamoja na Edinson Cavani na Angel di Maria ili kuzidi kukitia makali kikosi chake kinascho fanya vizuri kwenyerigi kuu ya Ufaransa.

No comments