REAL MADRID WASEMA LAZIMA WATAMSHITAKI GERRARD PIQUE KWA KUWADHALILISHA

KLABU ya soka ya Real Madrid imesema kwamba ni kweli inakusudia kumshitaki beki wa FC Barcelona, Gerrard Pique kutokana na kile wanachosema kuwa amewadhalilisha.

No comments