Real Madrid iliwapumzisha Cristiano Ronaldo, Gareth Bale na Karim Benzema lakini hiyo haikuwazuia kuwachapa Leganes 4-2 na kuendelea kujiimarisha kileleni mwa La Liga.

Alvaro Morata alifunga mara mbili na angeweza kupata  'hat-trick' kama kamati ya ligi isingeligeuza bao lake moja kuwa la kujifunga.

Leganes (5-4-1 ): Herrerin; Tito (Samuel, 54 ), Bustinza, Siovas, Mantovani, Rico; Gabriel (Bueno, 64), Timor, Ruben Perez, Szymanowski (Machis, 84); Luciano
Wafungaji: Gabriel dakika ya 32, Luciano Neves dakika ya 34

Real Madrid (4-3-3): Navas; Danilo, Nacho, Ramos, Marcelo; Kovacic (Modric, 81), Casemiro, Rodriguez (Isco, 72); Vazquez, Morata (Mariano, 78), Asensio
Wafungaji: James Rodriguez dakika ya 15, Alvaro Morata dakika ya 18 na 23 .Bao la nne la kujifunga lilitinga wavuni dakika ya 49.


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac