ROBERT PIRES ASEMA KYLIAN MBAPPE YUPO NJIANI KUTUA ARSENAL


Gwiji wa Arsenal  Robert Pires amesema klabu yake hiyo ya zamani itamsajili kinda Kylian Mbappe wa Monaco.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 18 tayari anahusishwa na vilabu vikubwa vya Ulaya huku dau lake likitajwa kuwa ni pauni 100.

Lakini Pires anasema  Mbappe ataelekea Emirates na kutanabaisha kuwa Wenger ndiye  mtu sahihi wa kusaidia kukinyanya kipaji chake.


No comments