ROBERTO FIRMINO AIBEBA LIVERPOOL …ligi yafikia patamu


Roberto Firmino ameifungia Liverpool bao pekee lililowapa pointi tatu muhimu dhdi ya West Brom na kusogea hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England.

Mshambuliaji huyo wa Kibrazil ambaye alikuwa nyota wa mchezo alitupia wavuni bao hilo dakika ya 45 na kufanya mchuano wa 'top four' uwe si wa kitoto.

WBA (4-1-4-1): Foster 6; Dawson 6.5, McAuley 6.5, Evans 6.5, Brunt 6.5; Yacob 6 (McClean 64 6); Phillips 7, Livermore 7, Fletcher 7, Chadli 6 (Morrison 61 6); Robson-Kanu 6 (Rondon 64 6.5)

Liverpool (4-3-3): Mignolet 7; Clyne 7, Matip 7, Lovren 6.5, Milner 6.5; Wijnaldum 7, Lucas 7, Can 7; Firmino 7.5, Origi 6 (Sturridge 82), Coutinho 7 (Moreno 90)

No comments