BEKI kisiki wa Real Madrid, Sergio Ramos amesema kwamba milango iko wazi kwa Kylian Mbappe kutua Santiago Bernabeu msimu ujao.


Real Madrid imemweka mshambuliaji huyo kwenye orodha ya wachezaji inaowataka kuwasajili kwa ajili ya msimu ujao huku klabu yake ya Monaco ikionekana kuwa kikwazo kwake.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac