STOKE CITY KUKIVURUGA KIKOSI CHA TIMU YA VIJANA CHA BARCELONA KWA KUMNYAKUA NAHODHA WAO

KLABU ya Stoke City imeripotiwa kutaka kumsajili nahodha wa kikosi cha timu ya vijana cha Barcelona, Sergi Palencia kwa ajili ya kumtumia msimu ujao.


Maskauti wa klabu hiyo wamekuwa wakifuatilia mwenendo wa nahodha huyo anayecheza nafasi ya beki wa kulia tangu kuanza kwa msimu.

No comments