THE ROCK, VIN DIESEL BADO HAWAPIKIKI CHUNGU KIMOJA

UHASAMA kati ya mafahari wawili wa filamu ya “Fast and Furious”, The Rock na Vin Diesel bado unaendelea, imeripotiwa.

Chanzo kimeuambia mtandao wa The Hollywood Reporter kuwa wawili hao wanatenganishwa kwenye matukio ya kuitangaza filamu hiyo ijayo na hata kuwa kwenye chumba kimoja.

Hii imekuja kama surprise kwa kuwa wawili hao waliwahi kusuluhishwa.


“Fast and Furious” itaingia kwenye majumba ya sinema Aprili 14, mwaka huu.

No comments