Habari

TOTTENHAM YAIVAA ATLETICO MADRID VITA YA KUMWANIA CARLOS RAMOS WA VILLAREAL

on

TOTTENHAM Hot
Spurs wanapigana vikumbo na baadhi ya klabu zinazomfukuzia kiungo wa Villareal, Carlos Ramos.
Lakini
wanalazimika kuweka dau la ziada la pauni mil 24 kwa ajili ya jembe hilo.
Ramos
anahusishwa kujiunga na Totenham katika usajili ujao wa dirisha la majira ya
joto.
United
wanatajwa katika dili la kumfukuzia kiungo huyo wa Atletic Madrid kwa ajili ya
kuimarisha kikosi chao.
Awali Spurs
waliweka mezani dau la pauni mil 15 kwa ajili ya Carlos Ramos kabla ya
Athletico hawajaweka bayana kuwa dau la kiungo huyo ni 23 mil.
Totenham wanakomaa na dua la awali lakini wakaweka bayana kuwa wanaweza wakaongeza kiasi
cha pauni mil 2 ili dili kufikia pauni mil 12.

Ramos
amekuwa katika kiwango boira katika kipindi cha miaka miwili hii na kuwa na
uhakika wakuwa na nabaya kudumu katika kikosi cha kwanza.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *