TOTTENHAM YAZIDI KUIFUKUZA CHELSEA MBIO ZA UBINGWA WA ENGLANDBao la dakika ya 78 kutoka kwa Christian Eriksen, lilitosha kuwa Tottenham pointi tatu muhimu dhidi ya Crystal Palace na kuzidi kuipumulia Chelsea kwenye mbio za kusaka taji la Ligi Kuu ya England.

Crystal Palace: Hennessey, Ward, Kelly, Sakho (Delaney 56), Schlupp, Milivojevic, McArthur (Cabaye 64), Townsend, Puncheon, Zaha, Christian Benteke (Campbell 81).

Tottenham: Lloris, Dier, Alderweireld, Vertonghen, Walker, Wanyama (Son ht), Dembele (Sissoko ht), Davies, Eriksen, Alli (Trippier 90), Kane.No comments