TUPIA MACHO KICHUPA KIPYA CHA YUSUPH TEGGO “COCO DILEMBAA”


Mpapasaji kinanda mkali Yusuph Teggo anazidi kujikita kwenye uimbaji baada ya kuachia wimbo wake mwingine “Coco Dilembaa”.

Itupie macho video huyo ya Yusuph Teggo ambaye ni mdogo wake na mwimbaji staa wa taarab Omar Teggo.

No comments