ULIKUWA WAPI MWAKA 1988 WAKATI PICHA HII YA MAQUIS ORIGINAL INAPIGWA?


Hii ni picha ya mwaka 1988 ya wanamuziki wanne wa moja ya bendi bora kabisa kutokea hapa Tanzania, Maquis Original.

Kutoka kushoto ni Mukumbule Parashi, Kocks Mbwana, Samba Wamikalay na Dekula Kahanga Vumbi.

Picha ilipigwa ndani ya ukumbi wa Wapiwapi Bar Chang'ombe Temeke jijini Dar es Salaam. Picha hii ni kwa hisani ya Dekula Kahanga Vumbi.

No comments