VIRGIN VAN DIJK, RYAN BERTRAND WA SOUTHAMPTON WAWINDWA NA CHELSEA

VINARA wa Ligi Kuu England, Chelsea wana azma ya kusaini beki wa kushoto mwenye umri wa miaka 27, Ryan Bertrand kutoka Southampton na wanamtaka beki wa kati wa watakatifu hao mwenye umri wa miaka 25, Virgil van Dijk.

No comments