WENGER AMSHAURI ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN KUDONDOKA WINO MWINGINE ARSENAL

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ametoa wito kwa kiungo Alex Oxlade –Chamberlain, 23, kusaini mkataba mpya.

Wenger amesema hayo huku kukiwa na tetesi kuwa nyota huyo anawaniwa na Manchester City na Liverpool.

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho naye amewahi kuhusishwa na tetesi za kumtaka Chamberlain ndani ya Old Trafford.

No comments