WILFRIED ZAHA AFANANISHWA NA NAYEMAR


Mshambuliaji wa Everton Yannick Bolasie amedai Wilfried Zaha ana kila kitu alichonacho supataa wa Barcelona Naymar. 
Yannick Bolasie aliyewahi kucheza na Zaha amesema anafurahi kuwa watu wameanza kugundua hilo sasa hivi lakini yeye alishasema zamani kuwa Zaha ni Neyamar ajae.
Kwa sasa Zaha ambaye alishindwa kupata namba Manchester United, ndiye nguzo ya Crystal Palace na hakuna ubishi kuwa mwishoni mwa msimu huu vilabu vikubwa vitapigana vikumbo kusaka saini yake.
Miongoni wa timu zinazotajwa kumwania Zaha ni pamoja na Chelsea na Tottenham.

No comments