WIZKID AMPA SHAVU DRAKE KATIKA KITU KIPYA CHA “COME CLOSER”

NYOTA wa muziki kutoka nchini Nigeriawizkid ameachia rasmi wimbo wake mpya uitwao “Come Closer” ambao mara ya kwanza ulipewa jina la “Hush Up The Silence” na amemshirikisha Drake.

Come Closer mara ya kwanza ulivuja mtandaoni Januari, mwaka huu ukiwa kama “Hush Up The Silence”.

Wizkid ameamua kuachia toleo lamwisho la wimbo huo ambao utakuwa katika albamu mpya ya “Sounds From the Other Side”.


Hii ni mara ya pili kwa Wizkid kushirikiana na Drake katika nyimbo zake.

No comments