ZIDANE AMNG’ANG’ANIA BALE… azipasha timu zinazomwitaji kuwa hauzwi ng’o!

KOCHA wa klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane amekianusha juu ya tetesi za usajili wa nyota wake, Gareth Bale na kuzipasha timu zinazomwania kwa kuziambia hawana mpango wa kumuuza kwa gharama yoyote.

No comments