ZLATAN IBRAHIMOVIC ASEMA "SIONDOKI KWENYE KAZI ILIYOKUWA BADO SIJAIMALIZA"

ZLATAN Ibrahimovic ametoa dokezo la nguvu kwamba bado atabakia Manchester United kwa ajili ya msimu mwingine. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 35 amesema “haondoki kwenye kazi iliyokuwa “haijamalizika.”

No comments