MWIMBAJI Innocent idibia ambaye anajulikana kwa jina la 2Face amemtaka LackFace amuombe msamaha kabla hajapeleka mahakamani kumdai fidia kwa kumchafua kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Lackface aliviambia vyombo vya habari vya Nigeria kuwa 2Face alimuimbia mashaili ya wimbo wake na kuachia kibao cha, “Let Somebody Love You”, wawili hao walikuwa kundi moja kabla ya kusambalatika huku kila mmoja akifanya kazi kivyake lakini hata hivyo 2face amefanikiwa zaidi kimuziki kuliko wenzie.


“Anapaswa kuniomba msamaha kwa kunishambulia kwenye vyombo vya habari kabla sijachukua uamuzi wa kupeleka mahakamani” alisema 2face.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac