Arsenal inaelelea kupigwa bao na Atletico Madrid katika kuwania saini ya mshambuliaji Alexandre Lacazette wa Lyon ya Ufaransa.
Atletico Madrid imeanza kusaka mbadala wa Antoine Griezmann na inadaiwa tayari imeshaingia makubaliano ya awali na Lacazette ambaye alikuwa akiwaniwa kwa udi na uvumba na Arsenal.

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac