Ijumaa jioni kupitia kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, rais wa FM Academia Nyoshi el Saadat, alifanya mahojiano yaliyojaa majigambo, vituko na vichekesho vingi.

Nyoshi alikwenda hapo kujinadi juu ya onyesho lao la Elasico kati yake yeye, Muumin na Chocky ndani ya Escape One Ijumaa usiku.

Msikilize Nyoshi na vituko vyake na namna alivyojidai hajui hata kutaka Gadner Habash na badala yake akawa anatamka Gadner Shababashi.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac