Barcelona imepania kwa kila hali kuhakikisha inamsajili beki Arsenal Hector Bellerin katika usajili wa dirisha la kiangazi. 

Gazeti la Mundo Deportivo la Hispania limesema Barcelona itatumia kusuasua kwa Arsenal  msimu huu kama mwanya wa kumrejesha beki huyo kwenye klabu yake ya utotoni.

Walati huo huo, gazeti la Diario SPORT nalo linathibitisha kuwa Barcelona imemfanya Bellerin kama lengo lao kuu dirisha la kiangazi lakini iwapo watakwama basi watahamisha majeshi kw Cesar Azpilicueta wa Chelsea au Benjamin Henrichs  wa Bayer Leverkusen.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac