CESC FABREGAS AZITIA WAZIMU LIVERPOOL NA MAN UNITED ...ni vita vya usajili wa pauni mil 25


CESC FABREGAS anaziweka kwenye vita vigogo vya England, Manchester United na Liverpool katika kinyang'anyiro cha usajili wa pauni milioni 25.
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp anataka kumsani kiungo huyo wa Chelsea mwenye umri wa miaka 29, lakini Mourinho naye amejipanga kumnyakua nyota wake wa zamani na kumpeleka Old Trafford.


No comments