DADA WA NEYMAR ATHIBITISHA KUTOKA KIMAPENZI NA MSHAMBULIAJI WA INTER MILAN


Rafaella dada wa supastaa wa Brazil, Neymar,  amethibitisha kuwa anatoka kimapenzi na mwanasoka wa Brazil na Inter Milan, Gabriel ‘Gabigol’ Barbosa.

Rafaella alionekana na kipenzi chake mapema wiki hii jijini London na wakatupia picha yao mtandaoni wakipena busu moto moto. Picha iliyopewa 'like' zaidi ya 100,000.
 Mtu na dadake ...Rafaella na Neymar
 Mtu na kipenzi chake ...Rafaella na Gabriel ‘Gabigol’ Barbosa

No comments