HABARI NJEMA! SMALLING, PHIL JONES, BAILLY, POGBA WAREJEA MAZOEZINIJose  Mourinho amepata ahueni kubwa baada ya wachezaji wake wanne wajeruhi kurejea mazoezini tayari kwa mchezo wa nusu fainali ya Europa League dhidi ya Celta Vigo Alhamisi usiku.

Chris Smalling, Phil Jones, Eric Bailly na Paul Pogba wote walishiriki vizuri mazoezi yaliyofanyika Jumatano asubuhi kwenye uwanja wa mazoezi wa Manchester United - Carrington.
No comments