HAJI MANARA ASEMA "SASA SIMBA SC TUNAENDA FIFA KUDAI HAKI YETU"


MSEMAJI wa Simba aliyefungiwa kwa miezi 12, Haji Manara ameanika wazi azma ya klabu yake kwenda Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), kupigania pointi tatu walizopokwa hivi karibuni, akisaema kuwa haki haiombwi bali huwa inadaiwa.

Akitumia ukurasa wake wa Instagram, Manara aliandika: "Haki huwa haiombwi, inadaiwa na cc tunakwenda FIFA (CAS) kuichukua haki yetu, tusubiri watenda haki watakapoamua"

No comments