HAJI MANARA AWAPONGEZA YANGA KWA KUFANIKIWA KUTETEA UBINGWA WA LIGI KUU

ALIYEKUWA msemaji wa wekundu wa Msimbazi, Simba, Haji Manara ametumia kauli ya “uungwana wa kimpira” kuwapa hongera wapinzani wao Yanga SC kwa kufanikiwa kulitetea tena taji lao la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.


Katika posti aliyoitupa kwenye ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika: “Uungwana wa kimpira tumezaliwa nao, hongereni watani, mapambano bado yanaendelea Yanga SC Tanzania.”  

No comments