STAA wa Nollywood Halima Abubakar amekanusha taarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa amepata ugonjwa wa kansa.

Halima amesema kuwa kama angekuwa amepatwa na tatizo hilo kubwa angeweka wazi kwenye vyombo vya habari.

“Kama ningekuwa na tatizo la kansa nisingekuwa na haja ya kuficha, niwakikishie mimi ni mzima na mwenye afya” ilisomeka sehemu ya taarifa yake.


“Sijapendezwa na uzushi unaonihusisha na tatizo la kansa bila kutaka kuthibitisha ukweli wa suhala hilo kwangu” aliongeza.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac