MSANII wa muziki wa kizazi kipya toka WCB Harmonize amethibitisha kuachana na malkia wa filamu, Jacqueline Wolper.

Huenda wawili hao wamezingua siku za karibuni kwani Machi 16, mwaka huu Harmonize aliachia wimbo wake wa "Niambie" ambapo ndani yake Wolper alicheza vitendo na pia walishirikiana kwenye ishu ya promotion ya wimbo huo.

Akiongea katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, Harmonize amedai alikuwa na mipango mingi na Wolper lakini ameona bora aachane naye ili aepushe shari.

“Sipo katika mahusiano in short, kila mtu ana maisha yake tumeachana,” alisema Harmonize.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac