HATIMAYE CHELSEA YATWAA UBINGWA ENGLAND …yaichapa West Brom 1-0Michy Batshuayi ameifungia Chelsea bao pekee dhidi ya West Bromwich Albion katika ushindi wa 1-0 uliowapa ubingwa Ligi Kuu ya England.

Bao hilo lilifungwa dakika ya 82 na kuifanya Chelsea itwae taji mechi mbili msimu haujamalizika.

Chelsea imefikisha pointi 87 ambazo hazitafikiwa na mtu timu yoyote.

No comments