STAA Ini Edo amesema kuwa atafanya kila namna kuhakikisha anapunguza nyama zilizozidi kwenye mwili wake.

Edo amesema kuwa ameanza kuuchukia unene wake ambao unampa taabu na kumfanya asijiachie atakavyo.

“Kuna wakati nahisi kuchoka sana kwa sababu ya kuongezeka kilo, nadhani natakiwa kufanya mazoezi ya viungo ili kupunguza mwili wangu kama awali,” amesema mrembo huyo.


Staa huyo amepanga kuanza kufanya mazoezi ya viungo ili kuondoa sehemu ya nyama ambazo zimezidi.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

Oldest posts

 
Top
Nicolaus Trac