JIKUMBUSHE VITU ADIMU …Man Utd vs Chelsea 2008 Champions League Final (mikwaju ya penalti)


Hii ilikuwa fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliyopigwa Moscow, Urusi mwaka 2008 kati ya Chelsea na Manchester United.

Hadi dakika 120 zinamalizika, miamba hii ya England ilikuwa nguvu sawa 1-1 kwa mabao ya Ronaldo na Lampard na ndipo ulipowadia wasaa wa mikwaju ya penalti tano tano …palikuwa patamu hapo.

No comments