KASEKIE, AJIBU WANUKIA SINGIDA UNITED

KOCHA wa Singida United Hans Pliujim anadaiwa kuwa kwenye mipango ya kuwasajili wachezaji Deus Kaseke wa Yanga na Ibrahim Ajib kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake kilichopanda daraja. 

No comments