KIPA WA SIMBA AAHIDI "KUWAKAZIA" MBAO FC KESHO... aapa kutorudia makosa ya kuwaruhusu wauwatangulie kwa mabao

KIPA namba moja wa Simba, raia wa GhanaDaniel Agyei amesema hawatorudia makosa ya kuwaruhusu Mbao FC kuwatangulia kwa mabao katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), kesho Jumamosi uwanja wa Jamhuri, Dodoma.  

No comments