KIVURANDE AANZA MAANDALIZI YA WIMBO WAKE MPYA NJE YA KIBAO KATA

MFALME wa Kibao Kata anayetamba sasa na wimbo "Moyo Kama Macho", Kivurande Junior ameanza maandalizi ya kishindo ya kibao chake kingine kinachokwenda kwa jina la "Nimekupa Moyo Wangu".

Akiongea na saluti5, Kivurande amesema kuwa anaamini kibao hicho pia kitakuwa funika bovu kama ilivyo kwa wimbo wake wa "Moyo Kama Macho" unaosumbua hivi sasa.

“Tayari nimeanza kuufanyia mazoezi wimbo wangu huo mpya ambapo natarajia kuukamilisha kabla ya kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani,” amesema Kivurande ambaye amepata mafanikio makubwa kupitia muziki.

“Watanzania wasubirie kupata vitu vitamu zaidi kutoka kwangu, nje ya Kibao Kata, muda mrefu wamekuwa wakiniomba niwaipulie kazi binafsi nami nimesikia mawazo yao na sasa nakuja kwa kasi,” ameongeza msanii  nakuja kwa kasi,” ameongeza msanii 

No comments