LIONEL MESSI AITOSA OFA YA MKATABA MPYA BARCELONA


Lionel Messi ameitosa ofa ya mkataba mpya Barcelona ambayo inatajwa kuwa na thamani kati  ya pauni milioni 25 na 30 kwa mwaka.

Lakini  gazeti la AS la Hispania limeandika kuwa supastaa huyo wa Argentina ameukataa mkataba huo.

Messi amebakiza mwaka mmoja kabla mkataba wake sasa haujamalizika na maongezi ya dili jipya yamekuwa yakiendelea kwa miezi kadhaa bila mafanikio.

No comments